Hahaaaa.....!!!!! eti Marounne Fellaini badala ya Marouane Fellaini, kweli LVG amemchoka huyu jamaa |
Fellaini alikuwa nje ya dimba tangu ligi imeanza kwa sababu ya majuruhi yaliyokuwa yakimsumbua, lakini leo alikuwa miongoni mwa wachezaji waliowakabili Everton dimbani Old Trafford ambapo Man U waliibuka na ushindi wa magoli 2-1.
0 comments:
Post a Comment