Friday, October 17, 2014

Picha na mtandao

Kama bado hujajipatia tiketi kwa ajili ya kwenda uwanja wa taifa jijini Dar Es Salaam kushuhudia mchezo wa Simba SC dhidi ya Yanga SC  kesho Oct 18, 2012 saa 10:00 jioni, basi bado hujachelewa unaweza kujipatia tiketi yako katika maeneo haya;

1.Uwanja wa Taifa - Msikitini na Minazini.
 

2. Buguruni - Shelly
 

3. Ubungo - Oilcom
 

4. Mbagala - Dar Live
 

5. Mnazi Mmoja
 

6. Makumbusho - Stand
 

7. Steers - Posta
 

8. TFF - Karume

NB: Tiketi hazitauzwa mlangoni kesho.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video