Lakiki kama ilivyokuwa kawadia kwa mitandao ya kijamii, jana hawakuwa nyuma kutengeneza vikatuni kulingana na tukio lenyewe.
Kama ingekuwa ni masumbwi (ngumi), Wenger alikuwa ameshinda:Hapo inaonekaka Wenger(aliyesimama) kamshinda Mourinho kwa KNOCK OUT. Teh teh teh............ |
Bila shaka hapa, ugomvi wao umefananishwa na ugmvi wa wanawake kwa kuwa hakuna aliyedhubutu kumpiga mwenzake, zaidi waliishia kusukumana tu. Kawaida wanawake hawajui kujiandaa na vita wanapigana huku wameshikilia vitu vyao mikononi, ikiwemo pochi zao. |
Kama ingekuwa ni BOXING; hapo Mourinho kamtisha Wenger kama anampiga ya kichwa halafu bila kutumia akili Wenger anapeleka mikono yote tumboni kupangua, Mourinho anamshona ya kichwa. Mourinho is master tactics . |
Hapo sasaaaa.....!!!!!! walai Wenger kacharuka baada ya kula moja ya kichwa na yeye katuma kitu kizito moja kwa moja kamshindilia Mourinho ya shavu la kulia mpaka akatapika chai aliyokunywa kabla ya pambano!
Kihistoria hii ni mechi ya tano Arsenal anafungwa na Chelsea kati ya mechi sita walikutana tangu msimu wa 2012/2013 mpaka jana Sep 5, 2014
0 comments:
Post a Comment