Rekodi hii hasa baada ya mechi ya jana ilimfanya CR7 kuwa na raha kubwa sana, kitendo kilichomfanya yeye kwenda kwenye hoteli kubwa na ya kifahari mno nchini Hisapani kula bata na rafiki wake wa kike Irina Shayk .
Watu na ubabe wao wa pesa; CR7 na asali wake wa moyo ndani ya hoteli ya TSE-YANG inayomilikiwa na wachina nchini Hispania
Hii ni picha ambayo staa huyo alitupia katika katika mtandao wake wa Twitter na kuandika "dinner with tigriski" neno lililopigiwa mstari limetokana na vifupisho vya jia la rafiki wake huyo wa kike, hoteli waliotembelea na hat trick aliyofunga. Huyu jamaa analeta utundu wake hadi mtaani bhana!
Wakiwa katika hoteli hiyo, CR7 na baby wake huyo walitumia pauni elfu 28 kila mmoja sawa na takribani milioni 56TZ/= kwa mtu mmoja.
VITU WALIVYOKULA
1.Mushroo and chiken Soup
2.Steam crabmeat dumplings
3.Sweet and Sour sea bram
4.'KON PAO' chicken
5.Beef strips with leek
6.Shanghai fried rice
7.Chocolate roll with banana
|
0 comments:
Post a Comment