Bondia Fadhili Boika kushoto akipambana na Shomari Milundi wakati wa mazoezi yake yaliyofanyika katika ukumbi wa garden mburahati ya kujiandaa na mpambano wake wa Oktoba 25 kumkabili bondia Godfrey Silve katika ukumbi wa frends corne manzese Dar es salaam Picha na
SUPER D BLOG
SUPER D BLOG
Bondia Fadhili Boika kushoto akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yake yaliyofanyika katika ukumbi wa garden mburahati ya kujiandaa na mpambano wake wa Oktoba 25 kumkabili bondia Godfrey Silve katika ukumbi wa frends corne manzese Dar es salaam Picha na
SUPER D BLOG
SUPER D BLOG
Msimamizi wa mazoezi kutoka 'King Class Team' Bilali Ngonyani kushoto akimsimamia kupiga gab bondia Fadhili Boika wakati wa masoezi yake ya kujiandaa kupambana na Godfrey Silve mpambano utakaofanyika oktoba 25 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaa
ambaye ni msimamizi wa gym ya garden iliyopo kigogo mburahati walipokuwa wanafanyika mazoezi jana Picha na
Kocha Mohamed Mbadembade kushoto akiwaelekeza mabondia godfrey Mbwalu kulia, Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Shomari Malundi na Fadhili Boika baada ya kumaliza mazoezi katika ukumbi wa Garden Kigogo Mburahati Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
MABONDIA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUMALIZA MAZOEZI YAO KATIKA UKUMBI WA GARDEN KIGOGO MBURAHATI DAR ES SALAAM |
0 comments:
Post a Comment