Saturday, October 11, 2014

Kikosi cha timu ya taifa cha Argetina kikiongozwa na nyota wake, Lionel Messi kimecharazwa magoli 2-0 na timu ya taifa ya Brazili kilicho ongozwa na nyota wake Neymar Junior katika mchezo kirafiki wa kimataifa " Firs Super Clasico de las Americas" uliofanyika katika dimba la Beijing nchini Brazil.
Tardelli takes the plaudits from manager Dunga after his second goal put Brazil firmly in control against Argentina
Neymar hakuweza kusogelea moto wake kwa siku ya leo
Katika mchezo huo ambao wengi walibatiza jina (Messi vs Neymar), hakuna aliyefanikiwa kufunga goli kati ya hao, badala yake magoli yote ya Brazil yametiwa kambani na mshambuliaji, Diego Tardelli 29 amabye anakipiga katika klabu ya Atletical Mineiro.
Manager Dunga (second from right) joins in the post-match celebrations on the pitch at the Bird's Nest in Beijing 
Wakwanza kushoto (suti nyeusi) ni kocha wa timu ya taifa ya Brazil DUNGA wakishangilia baada ya kunyakua ndoo ya " Firs Super Clasico de las Americas" katika dimba la Beijing, Brazil
Licha ya Argentina kucheza kwa bidii, bado hawakuweza kupata goli hata la kufutia machozi. Mbaya zaidi ya walipata penati ambayo ilipigwa na Messi lakini mlinda lango wa Brazil alipangua na kuwapotezea matumaini kabisa.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video