Adebayo (kushoto) alikuwa mchezaji wa Manchester City kwa misimu iliyopita ya 2009 na 2012.
|
Licha ya kwamba aliondakoka Etihad muda mrefu uliopita, Emmuel Adebayo ambaye kwa sasa anakipiga kunako klabu ya Tottenham Hospurs, jana alionekana kuendelea kuwa na uswahiba wa hali ya juu na wanandinga wenzake wa zamani wa Man City.

Man City waliweza jana kutumia vyema uwanja wao vizuri baada ya kumtafuna Tottenham Hospurs kwa magoli 4-1 na kuendelea kuwa katika nafasi ya pili alama tano nyuma ya vinara wa ligi hiyo Chelsea.
0 comments:
Post a Comment