Tuesday, September 16, 2014


Jack Wilshere looked in good shape as he trained with his Arsenal team-mates prior to Tuesday's fixture away at Dortmund
Jack Wilshere alionekana mwenye morali ya juu
JACK Wilshere na Danny Welbeck wameonekana kuwa na morali kubwa katika mazoezi ya Arsenal kujiandaa na mechi ya ligi ya mabingwa inayopigwa leo dhidi ya Borussia Dortmund.
Wilshere alifunga bao na kuonesha kiwango cha juu katika sare ya 2-2- na Manchester City, wakati Welbeck alifurahia kucheza mechi yake ya kwanza na kutolewa baadaye.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Manchester United alionekana kuimarika na katika mazoezi ya jana Arsene Wenger alikuwa anampa mazoezi ya kuongeza kasi.
Welbeck (centre) shrugged off the cramp that plagued him on Saturday against Manchester City as he trained freely with the Arsenal squad
Welbeck (katikati) alicheza dhidi ya Manchester ana ameonekana kuwa imara katika mazoezi ya Arsenal
Arsene Wenger hands out instructions to his players as they prepare for Tuesday's clash against Dortmund away at the Westfalenstadion
Arsene Wenger akitoa maelekezo kwa wachezaji wake kuelekea mechi dhidi ya Dortmund itayopigwa leo huko Westfalenstadion

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video