
Wakali wa Phiri bado hawajapata bao
KWA wale wenye hamu ya kujua matokeo ya mechi ya kimatifa ya Kirafiki baina ya Simba na URA inayoendelea uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, matokeo ni kwamba Simba wapo nyuma kwa 1-0 na hivi sasa ni dakika ya 28 kipindi cha Pili.
Matokeo ya dakika 90 tutawajuza.
0 comments:
Post a Comment