Friday, September 12, 2014


Rio Ferdinand is set to start at Old Trafford this Sunday as QPR take on Manchester United
Rio Ferdinand anatarajia kucheza dhidi ya United siku ya jumapili 

RIO Ferdinand aliondoka wakati sahihi Old Trafford, kwa mujibu wa kocha wa Manchester United, Louis van Gaal.
Ferdinand, aliyeondoka United baada ya miaka 12 majira ya kiangazi mwaka huu, anarudi Old Trafford kwa mara ya kwanza akiichezea timu ya QPR katika mechi ya jumapili.
Inafahamika kuwa beki huyo alitaka kubakia, lakini alitaarifiwa na Mkurugenzi wa United Ed Woodward kwenye vyumba vya kubadilishia nguo katika mechi ya mwisho dhidi ya Southampton msimu uliopita kuwa hatapewa mkataba mwingine.
But Louis van Gaal said it was the right time for the 'great player' to leave the club
Lakini Louis van Gaal alisema ilifika muda muafaka kwa Rio kuondoka United

Tatizo la Man United ni safu ya ulinzi wakati huu Van Gaal akitumia mfumo wa mabeki watatu na imeelezwa kuwa Ferdinand angekuwa na thamani klabuni hapo.
Lakini Mholanzi huyo alisema: "Hapana, kuna muda wa kukaa na kuondoka na nadhani aliamua kuondoka. Alikuwa mchezaji mkubwa na pengine bado ni mchezaji mkubwa, lakini siku zote kuna wakati wa mchezaji kuondoka katika klabu"

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video