Saturday, September 20, 2014

KUELEKEA MECHI YA JIONI YA LEO...

Mtibwa Sugar v Yanga SC....Tangu kuanza kwa karne mpya Yanga imeshinda mara nne katika safari 13 zilizopita katika uwanja wa Jamhuri, Morogoro...

Hii hapa rekodi ya mechi zilizopita kati ya timu hizo mbili.......

14 Agosti, 2000, Mtibwa 2-1 Yanga. 22 Septemba, 2001, Mtibwa 1-0 Yanga. 29 Oktoba, Mtibwa 1-2 Yanga. 13 Septemba, 2003, Mtibwa 1-2 Yanga. 26 Septemba, 2004, Mtibwa 3-3 Yanga. 14 Oktoba, 2007, Mtibwa 1-1 Yanga. 13 Septemba, 2008, Mtibwa 0-1 Yanga.

19 Septemba, 2009, Mtibwa 0-1 Yanga ( ushindi wa mwisho wa Yanga). 15 Septemba, 2010, Mtibwa 1-1 Yanga. 7 Septemba, 2011, Mtibwa 0-0 Yanga.

19 Septemba, 2012, Mtibwa 3-0 Yanga ( ushindi wa tatu na wa mwisho wa Mtibwa).

Machi, 2014, Mtibwa 1-1 Yanga... Timu hizo zimetoka sare mara sita, Mtibwa imeshinda mara tatu, Yanga wameshinda mara nne. Kumbuka mechi hizi zilifanyika katika uwanja wa Jamhuri...



0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video