Wayne Rooney alioneshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja na mwamuzi Lee Mason kwenye mechi ya ligi kuu England dhidi ya West Ham. United ilishinda 2-1.
Pande mbili za Wayne Rooney - mfungaji bora namba tatu wa wakati wote katika michuano ya ligu kuu, lakini ndiye mchezaji anayeongoza kwa kadi nyingi nyekundu kati ya wachezaji 10 bora (kadi 6)
Mchoro ukionesha jinsi Rooney alivyomfanyia faulo mbaya Stewart Downing . Angalia kulikuwa na mabeki watatu ambao wangezuia hatari
0 comments:
Post a Comment