KABLA YA KUIVAA AZAM FC NGAO YA JAMII, NHIF YAWAPA DARASA WANANDINGA NA WATENDAJI WA YANGA Katibu Mkuu wa Yanga Bw. Beno Njovu akizindua semina ya Mfuko wa Bima ya Afya na Watendaji na wachezaji wa Klabu ya Yanga iliyofanyika jana makao makuu ya klabu hiyo mtaa wa Jangwani, katikati ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na kushoto ni Christopher Mapunda Meneja wa NHIF Wilaya ya Ilala .Klabu ya Yanga imekuwa ya kwanza kuanza utaratibu wa kuijunga na mfuko wa Bima ya afya.Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akizungumza na watendaji wa Yanga na wachezaji wakati wa semina hiyo janaMkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akizungumza na watendaji wa Yanga na wachezaji wakati wa semina hiyo janaMmoja wa maofisa wa Mfuko wa Bima ya Afya akiwaonyesha makocha wa Yanga baadhi ya picha alizopiga nao. Kulia ni kocha wa yanga, Marcio Maximo.Christopher Mapunda Meneja wa NHIF Wilaya ya Ilala akitoa mada wakati wa semina na wachezaji wa timu ya Yanga jana.Baadhi ya wachezaji na maofisa pamoja na wanachama wa Yanga wakiwa katika semina hiyo.Baadhi ya wanachama wa Yanga wakiwa katika semina hiyo kushoto ni mwanachama wa Yanga Bw Said Hassan KiparaKatibu Mkuu wa Yanga Bw. Beno Njovu akizungumza katika semina hiyo kulia ni Hance John Mwankenja ,Afisa Matekelezo wa NHIF Mmoja wa maofisa akigawa majarida yanayoelezea faida za Mfuko wa Bima ya Afya ya jamii katika semina hiyo Ofisa Mawasiliano mwandamizi NHIF Bw. Luhende Andrew Singu akizungumza na wachezaji hao jana wakati wa semina hiyo
0 comments:
Post a Comment