Bondia Elick Mwenda kushoto wa Malawi akikwepa ngumi wakati wa mpambano wake na bondia Allybaba Ramadhani uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Allybaba alishinda kwa pointi mpambano huo Picha na SUPERD BLOG |
Bondia Raymond Mbwago kushoto akipambana na Iddi Pialali wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi katika ukumbi wa YMCA Hall Pialali alishinda kwa K,O ya raundi ya Nne picha naSUPERD BLOG |
Allybaba Ramadhani
Bondia Raymond Mbwago kushoto akipambana na Iddi Pialali wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi katika ukumbi wa YMCA Hall Pialali alishinda kwa K,O ya raundi ya Nne picha naSUPERD BLOG
Bondia Shomari Milundi kushoto akipambana na Saimoni Zabron wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi mpambano huo walitoka Droo ya kufungana point picha na SUPERD BLOG
Shomari Milundi kushoto na Simon Zablon wakinyooshwa mikono juu na refarii Pembe Ndava kuashiria Doroo picha na SUPERD BLOG
Bondia Said Yazidu kushoto akipigwa ngumi na Djamal Dahou wa Algelia Dahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza ya mpambano huo picha na SUPERD BLOG
0 comments:
Post a Comment