Sunday, September 14, 2014


Cristiano Ronaldo will demand £500,000-a-week to join either Chelsea or Manchester United next summer
Cristiano Ronaldo atahitaji kulipwa mshahara wa paundi laki 500,000 kwa wiki

CRISTIANO Ronaldo atahitaji kulipwa mshahara utakaovunja rekodi ya dunia wa paundi 500,000 kwa wiki ili kujiunga na Chelsea au Manchester United majira ya kiangazi mwakani.
Mwanasoka huyo bora wa dunia na Ulaya, mnamo mwaka 2013 alionesha nia ya kutaka kurudi United, lakini dili hilo lilikufa baada ya kuondoka kwa Sir Alex Ferguson.
Hata hivyo United hawakujiandaa kumlipa  Ronaldo anachotaka na aliongeza mkataba na Real Madrid ambapo analipwa paundi 350,000 kwa wiki.
Cristiano Ronaldo scored a penalty in Real Madrid's 2-1 defeat against Atletico Madrid on Saturday
Atarudi?: Cristiano Ronaldo alifunga goli kwa penalti katika kipigo cha 2-1 kutoka kwa Atletico Madrid jana usiku

Tangu Ronaldo aondoke, United inamlipa Wayne Rooney paundi 300,000 kwa wiki katika mkataba wake na wiki iliyopita, Radamel Falcao alisaini mkataba na atalipwa paundi 390,000.
Dili la Falcao lilisainiwa chini ya wakali mkubwa, Jorge Mendes ambaye pia ni wakala wa Ronaldo.
Ronaldo
Wamiliki wa kimarekani wa United wamejiandaa kutumia fedha nyingi kumshawishi Ronaldo ili arudi Old Trafford.
Kiukweli, wiki iliyopita, Ronaldo aliweka wazi kuwa anaweza kuondoka Real Madrid na yuko tayari kurudi katika klabu yake ya zamani ya United ambapo alikuwa na nia ya kufanya hivyo mwaka 2013, lakini ilishindikana kutokana na mshahara wake kuwa mkubwa.
Lakini kutokana na uhusiano wa wakala Mendes na kocha wa Chelsea, Jose Mourinho na mmiliki, Roman Abramovich, Ronaldo anaweza kushawishika kujiunga na klabu hiyo ya London Magharibi.
Radamel Falcao is being paid £390,000-a-week by Manchester United after a move from Monaco
Radamel Falcao analipwa paundi 390,000 kwa katika klabu yake ya Manchester United baada ya kujiunga akitokea  Monaco

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video