Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana jioni hii wamefanya mazoezi katika chumba maalum cha mazoezi ‘Gym’, ungana na mpigapicha wa Father Kidevu Blog katika picha mbalimbali za warembo hao katika kambi yao.
Home
»
»Unlabelled
» MBONA RAHA JAMANI!! WAREMBO MISS TANZANIA WAJIFUA GYM KUIWEKA MIILI YAO SAFI, CHEKI PICHAZ...HUTOKI HAPO!
Sunday, September 14, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment