Monday, September 22, 2014


Manuel Pellegrini questions Chelsea manager Jose Mourinho during the tense draw the the Etihad 
Manuel Pellegrini akimuuliza kocha wa Chelsea, Jose Mourinho baada ya sare ya 1-1 

KOCHA wa Manchester City,  Manuel Pellegrini amedai kuwa Chelsea walicheza kama timu ndogo baada ya kutoka sare ya 1-1 jana uwanja wa Etihad.
Kiungo wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard aliisawazishia Man City akifuta bao la  Andre Schurrle.
Wakianza msimu wakiwa na asilimia 100 ya ushindi katika mechi za kwanza, Chelsea walionekana kuzuia kufungwa jana.
Pellegrini amelaumu kuwa Chelsea walipaki basi kama katimu kadogo vile.
Former Chelsea star Frank Lampard refuses to celebrate scoring Manchester City's equaliser
Nyota wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard akigoma kushangilia baada ya kuifungia Man City bao la kusawazisha.

Wakiwa pungufu baada ya Pablo Zabaleta kutolewa nje kwa kadi nyekundu, Man City waliibana Chelsea na kuwashambulia sana.
"Nadhani tulicheza dakika 90 na timu ndogo ikijaribu kujilinda, ikijaribu kuweka wachezaji 10 mbele ya goli lao na sisi tulikuwa timu iliyotaka kushinda kutoka mwanzo," alisema Pellegrini.
"Nadhani tulicheza na timu ile ile kama tulivyocheza na Stoke City hapa"
"Ilikuwa ngumu kwetu kufunga, lakini mwisho wa siku tulifunga. Sitaki kuichambua Chelsea. Timu nyingine zinafanya hivyo, lakini mimi sio wajibu wangu",

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video