Cristiano Ronaldo alipiga 'hat-trick' nyingine wiki hii na kufikisha mabao 264
THAMANI ya kweli ya Cristiano Ronaldo kurudi ligi kuu England inaweza kuwa zaidi ya paundi milioni 140 baada ya washauri wa nyota huyo wa zamani wa Manchester United kusema anahitaji mshahara wa paundi milioni 20 kwa mwaka.
Imefahamika kuwa Ronaldo yuko tayari kusikiliza ofa baada ya kutotulia Real Madrid na wikiendi iliyopita kocha wa United, Louis van Gaal alishindwa kukanusha taarifa za kutaka kumsajili mchezaji huyo wa bira wa dunia.
Hata hivyo timu yoyote inayotaka kumsajili Ronaldo inatakiwa kuvunja benki kwasababu wawakilishi wa nyota huyo wanasema kuwa anahitaji mshahara wa paundi 385,000 kwa wiki.
Ronaldo ni mtu hatari sana
0 comments:
Post a Comment