UEFA inajiandaa kuichunguza Liverpool kwa kudaiwa kuvunja sheria ya FFP
LIVERPOOL wanachunguzwa na UEFA kwa kudaiwa kuvunja sheria ya matumizi ya fedha.
Liverpool, Monaco, Inter Milan na Roma — ambao hawakuwepo katika michuano ya Ulaya msimu uliopita wametuma akaunti zao UEFA na sasa wanasubiri kuulizwa juu ya taarifa nyingine za kifedha.
Hakuna vikwazo watakavyowekewa kwa hatua hii, ingawa kifungo cha kutopata fedha za ligi ya mabingwa kinaweza kufuata.
0 comments:
Post a Comment