Sunday, September 21, 2014


Louis van Gaal has claimed that every player he speaks to would love to join Manchester United
Louis van Gaal amedai kuwa kila mchezaji aliyeongea naye alipenda kucheza Manchester United

LOUIS van Gaal amejibu mapigo ya kocha wa Bayern Munich,Pep Guardiola akidai kuwa wachezaji wote anaowazungumzia wanapenda kujiunga na Manchester United. 
Wiki iliyopita, Guardiola aliongea maneno ya 'dharau' kwa Van Gaal akisema wachezaji wake nyota kama Arjen Robben, Bastian Schweinsteiger na Thomas Muller walikuwa na bei kubwa ambayo United wasingeweza na akaongeza kuwa wachezaji hao hawakutaka kwenda popote.
"Kama mchezaji anataka kubakia atabaki," alisema Guardiola.
Jumamosi usiku, Van Gaal alijibu mapigo akisema: "Haivutii kwa kile alichokisema. Nadhani kila mchezaji niliyewasiliana naye alitaka kucheza Manchester United.
Pep Guardiola previously said stars like Arjen Robben and Thomas Muller were too expensive for United
Pep Guardiola alisema nyota wake kama Arjen Robben na Thomas Muller walikuwa na bei kubwa sana

"Huwezi amini, licha ya kutocheza ligi ya mabingwa, wachezaji wanakuja na wanapenda kuja".
"Inashangaza lakini ni kwasababu ya ukubwa wa klabu hii na wanaamini mpango tulioanza sasa".
Robben alihusishwa kujiunga na Man United kabla ya kumsajili, Angel di Maria. Pia Van Gaal alihusishwa kumsajili Muller na Holger Badstuber, ambao aliwapanga katika mechi ya kwanza akiwa Allianz Arena.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video