LIVERPOOL WAPIGWA KIDUDE NYUMBANI NA ASTON VILLA Gabriel Agbonalhor akiifungia Aston Villa bao la kuongoza MAJOGOO wa jiji Liverpool wamekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Aston Villa. Mchezo huo wa ligi kuu nchini Tanzania umepigwa uwanja wa Anfield na kumalizika dakika chache zilizopita.
0 comments:
Post a Comment