
Pep Guardiola amewaonya Man United
KOCHA wa Bayern Munich, Pep Guardiola amewaonya Manchester United kuwa hawawezi kumudu kuwanunua wachezaji wake bora na amedai hataki kuona nyota wake kama Arjen Robben, Bastian Schweinsteiger na Thomas Muller wanakwenda kucheza ligi kuu England.
Aliulizwa jana mchana kama aliwahi kumkataliwa Louis van Gaal kusajili wachezaji wake, Guardiola alitikisa kichwa na kusema: Hawana (United) hawakuwa na hela za kutosha"

Bosi wa Bayern amezua jambo na kuwaonya Manchester United kuhusu wachezaji wake nyota
0 comments:
Post a Comment