Saturday, September 13, 2014

Manchester United
GARY Neville mara zote anafikiria kuwa kocha wa Manchester United lazima awe Muingereza. Huwa anasema sehemuu za siri na wazi.
Siku moja akiwa mjini Barcelona, Neville alisema kwa hisia kuwa United haitacheza ligi ya mabingwa baada ya kushindwa kumuamini David Moyes.
Neville habadiliki, anaipenda Manchester, lakini anaamini kuwa United haiwezi kufanikiwa chini ya kocha wa kigeni.
Kwa mtazamo wake anaona David Moyes angepewa muda zaidi, hata kama angetimuliwa, basi mrithi wake angetoka ndani ya Uingereza.
New signing Radamel Falcao and manager Louis van Gaal talk during training on Friday
Mchezaji mpya wa United, Radamel Falcao na kocha Louis van Gaal wakizungumza wakati wa mazoezi ya jana
Louis van Gaal addresses his Manchester United players during training on Friday
Louis van Gaal akizungumza na wachezaji wa United katika mazoezi ya jana IjumaaRadamel Falcao and Daley Blind are expected to make their Manchester United debuts against QPR
Radamel Falcao  na Daley Blind wanatarajia kucheza mechi yao ya kwanza Manchester United dhidi ya QPR kesho
Manchester United have a proud tradition of hiring British managers, such as Sir Alex Ferguson
Manchester United imekuwa ikisifiwa kwa kuajiri makocha wa Kiingereza kama vile Sir Alex Ferguson
Sir Alex Ferguson and Sir Matt Busby celebrate United's famous Champions League win in 1999
Sir Alex Ferguson na Sir Matt Busby wakishangilia taji la ligi ya mabingwa mwaka  1999

Wengine hawakubaliana na Neville na wanadai hazungumzi uhalisia, lakini haelewi. Yeye anadai kuajiri Waingereza ndio sababu ya United kuwa ya kipekee.
Neville alisena ndio utamaduni wa klabu na kocha wa Kiingereza anajali zaidi vijana wa nchi hiyo na ndio maisha ya United.
Neville anasema United kuwa na kocha mgeni, wachezaji wageni imekufa.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video