Monday, September 15, 2014

WAKATA miwa wa Kaitaba, Kagera Sugar kesho wanatarajia kuanza safari ya kuelekea jijini Tanga kwa ajili ya mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu soka Tanzania bara katika uwanja wa CCM  Mkwakwani dhidi ya wenyeji Mgambo JKT, septemba 20 mwaka huu.

Kocha msaidizi wa Kagera Sugar, Murage Kabange amesema klabu hiyo ina jumla ya wachezaji 25 na hapo kesho wataanza safari na wanandinga wote pamoja na viongozi watano kwenda kusaka pointi tatu muhimu.

Kabange aliongeza kuwa wameamua kuanza safari mapema kwasababu kutoka Kagera kwenda Tanga ni mbali sana.


Kocha huyo alisema: “Tuna imani na vijana wetu kuwa wanaweza kutufikisha tunapotaka, japokuwa ligi ya msimu huu inaonekana itakuwa ngumu, lakini tutajitahidi kupigana  ili kuweza kushika nafasi za juu”.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video