Saturday, September 27, 2014


Kocha wa Chelsea , Jose Mourinho amedai kuwa  Manuel Pellegrini  'alimuua'  Mark Clattenburg mapema msimu huu.

JOSE Mourinho amemjia juu kocha wa Manchester City, Manuel Pellegrini akidai 'alimuua' mwamuzi Mark Clattenburg’.
Pellegrini alimkosoa kocha huyo wa Chelsea baada ya sare ya 1-1 baina ya timu hizo uwanja wa Etihad jumapili iliyopita na alimshutumu Mourinho kuwa alicheza mechi hiyo kama 'timu ndogo'.
Hatimaye Mourinho alijibu mapigo jana akimkumbusha Pellegrini ambaye ni mara chache sana kujihusisha kwenye migogoro kuwa alivunja kanuni zake mwenyewe za msimu uliopita kwa kumkosoa Clattenburg.
Frank Lampard refused to celebrate after scoring for City against former club Chelsea in last week's 1-1 draw
Frank Lampard aligoma kushangilia baada ya kuifungia Man City bao la kusawazisha dhidi ya Chelsea 
Referee Clattenburg booked Lampard during Man City's 2-2 draw with Arsenal earlier this month
Mwamuzi Clattenburg alimuonesha kadi ya njano, Lampard katika sare ya 2-2 dhidi ya Arsenal mapema mwezi huu 
Man City boss Pellegrini claimed Clattenburg's performance had cost his side victory at The Emirates
Kocha wa Man City ,  Pellegrini alidai uchezeshaji mbaya wa Clattenburg ulimkosesha ushindi katika uwanja wa Emirates


Mourinho alisema: "Sio mara moja, mbili au tatu alimuambia kila mtu kuwa hazungumzi kuhusu waamuzi. Alimuua Clattenburg".
"Mara tatu au nne alisema hazungumzi kuhusu mimi au timu yangu-amefanya tena. Ni juu yako kutoa maoni. Niliposema sitaki kumzungumzia yeye, ndicho najaribu kufanya".

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video