Sunday, September 21, 2014


Jamie Redknapp wrote off Liverpool's title chances on Saturday Night Football where he was a pundit alongside former West Ham United manager Gianfranco Zola
Jamie Redknapp amesema Liverpool hawawezi kubeba taji 

JAMIE Redknapp amesema haonai kama Liveroool wanaweza kushinda ubingwa wa ligi kuu England msimu huu kufuatia kupoteza mechi kubwa tatu mpaka sasa.
Wekundu hao wa Anfield walifungwa 3-1 na West Ham na kicho ni kipigo kingine baada ya kufungwa na Aston Villa na Manchester City katika mechi za mwanzoni mwa msimu.
Kwasasa majogoo hao wa jiji wapo pointi sita nyuma ya vinara Chelsea wakiwa wameshacheza mechi nyingi zaidi.
Kiungo huyo wa zamani wa Liverpool ameseme kuuzwa kwa Luis Suarez kumeleta madhara na wachezaji waliosajiliwa majira ya kiangazi na Brendan Rodgers itawachukua muda kutulia.
Steven Gerrard, Rickie Lambert and Mario Balotelli look on after Liverpool lost 3-1 at West Ham United
Steven Gerrard, Rickie Lambert na Mario Balotelli baada ya kutandikwa 3-1 na West Ham United
 



    "Siwapi nafasi Liverpool ya kushinda ubingwa," Redknapp amewaambia Sky Sports.
    "Baada ya kuuza moja ya mchezaji bora wa dunia, mchezaji bora wa ligi kuu England msimu uliopita, inawafanya wasiweze."
    "Sasa unapoleta wachezaji wengine, inawachukua muda kutulia. Nahitaji kuona vitu vingine zaidi kutoka kwa [Lazar] Markovic na [Adam] Lallana ambao itawachukua muda."
    "Kuingia nne bora ndio iwe malengo msimu huu, kwa ubingwa hakuna nafasi wakati huu hawana Suarez"

    0 comments:

     
    voyeur porn porn movies sex videos hd porno video