Friday, September 26, 2014


Brendan Rodgers is holding out hope for the return of Daniel Sturridge in the Merseyside derby
Brendan Rodgers  ana matumaini kuwa  Daniel Sturridge  anaweza kurudi mechi ya watani wa jadi 

KOCHA wa Liverpool, Brendan Rodgers hajakata tamaa kuhusu Daniel Sturridge kucheza kwa dakika chache kwenye mechi ya watani wa jadi wa  Merseyside kesho dhidi ya Everton.
Liverpool imemkosa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa England tangu alipopata majeruhi ya mguu akiwa katika majukumu ya kimataifa mapema mwezi huu, lakini sasa anakaribia kurudi uwanjani.
Wakati huu akikosekana kikosini, kikosi cha Rodgers kilipoteza mechi dhidi ya Aston Villa na West Ham, walishinda ligi ya mabingwa dhidi ya  Ludogorets na walisubiri kusonga mbele kwa penalti dhidi ya Middlesbrough katika michuano ya Capital One Cup.
Sturridge walks on the pitch ahead of Liverpool's match against Aston Villa at Anfield
Sturridge akitembea uwanjani wakati wa mechi dhidi ya Aston Villa katika dimba la Anfield.

"Tutafurahi kuwa naye tena na tunatumaini inaweza kuwa wikiendi hii," alisema kocha huyo.
Sturridge is no chance of being match fit after he was injured on duty for England, but Rodgers says he is a chance to come off the bench against neighbouring Premier League rivals Everton
Sturridge bado hajawa fiti kwa mechi baada ya kuumia katika majukumu ya timu ya taifa ya England, lakini Rodgers anasema ana nafasi ya kuanzia benchi didi ya majirani zao na mahasimu wao, Everton.
"Hayuko fiti kwa ajili ya mechi, hajacheza kwa wiki kadhaa, lakini itakuwa jambo kubwa kuwa naye kwasababu ni mchezaji wa ajabu kwetu"

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video