Saturday, September 20, 2014


Wayne Rooney, pictured in training on Friday, was handed the armband by boss Louis van Gaal this season 
Wayne Rooney, alipigwa picha akiwa katika mazoezi ya jana Ijumaa na amepewa beji ya unahodha na Louis Van Gaal msimu huu

LOUIS van Gaal ameweka wazi kuwa Wayne Rooney ndiye mchezaji pekee mwenye uhakika wa namba katika kikosi chake kilichosheheni mastaa baada ya kutumia paundi milioni 150 katika usajili wa majira ya kiangazi mwaka huu.
Rooney anakabiliana na changamoto ya namba kutoka kwa 
Radamel Falcao, Angel di Maria, Juan Mata na Robin van Persie katika safu ya ushambuliaji ya United, lakini Van Gaal amesema nahodha wake pekee na pengine kipa David de Gea ndio wachezaji pekee wenye uhakika wa namba kwa kila mechi.
"Sidhani kama wachezaji wana uhakika wa namba," alisema kocha wa United. "Nahodha wangu pekee ndiye mwenye namba ya uhakika na sio mchezaji mwingine. Kila mchezaji anajua hilo kwasababu mnaona ninavyoendesha timu yangu-nahodha wangu siku zote atacheza na pengine hata golikipa"

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video