Tuesday, September 23, 2014


Frank Lampard slots home from inside the penalty area to gift Manchester City an equaliser against Chelsea
Frank Lampard akiteleza na kupiga mpira aliozama nyavuni akiisawazishia Manchester City dhidi ya Chelsea na mechi kumalizika kwa sare ya 1-1

FRANK Lampard  anaweza kurudi tena kwa kishindo Stamford Bridge mwezi januari mwakani akiwa na Manchester City baada ya kuwekwa wazi kuwa muda atakaokaa Etihad umeongezwa.
Lampard, aliyefanikiwa kuwa gwiji wa Chelsea katika miaka yake 13 aliyokaa pale, alikaribia kutoa machozi baada ya kuifungia Manchester City bao la kusawazisha dhidi ya klabu yake ya zamani jumapili iliyopita.
Nyota huyo mwenye miaka 36 anaweza kurudi tena darajani januari 31 kufuatia kuamuliwa kuwa ataondoka kwenda kujiunga na timu yake ya New York City mwezi mmoja zaidi tofauti na ilivyotarajiwa.
Frank Lampard arrives late in the box to score Manchester City's equaliser and deny Chelsea three points
Frank Lampard alifika eneo la hatari dakika za mwisho na kuisawazishia goli Man City na kuinyima pointi tatu klabu yake ya zamani
Frank Lampard refuses to celebrate after equalising for Manchester City against the club he represented
Frank Lampard aligona kushangilia baada ya kufunga 

 FRANK LAMPARD ANAWEZA KUCHEZA MECHI HIZI...

Sheff Wed (a) Wednesday
Hull (h) - September 27
Roma (h) - September 30
Aston Villa (a) - October 4
Tottenham (h) - October 18
CSKA (a) - October 21
West Ham (a) - October 25
Man Utd (h) - November 2
CSKA (a) - November 5
QPR (a) - November 8
Swansea (h) - November 22
Bayern (h) - November 25
Southampton (a) - November 30
Sunderland (a) - December 3
Everton (h) - December 6
Roma (a) - December 10
Leicester (a) - December 13
C Palace (h) - December 20
West Brom (a) - December 26
Burnley (h) - December 28
Sunderland (h) - January 1
Everton (a) - January 10
Arsenal (h) - January 17
Chelsea (a) - January 31

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video