FLOYD MAYWEATHER AZIDI KUONESHA 'MASHAUZI YA MPUNGA' ALIONAO...CHEKI MADOLALI HAYO.... +3 BONDIA mkali, Floyd Mayweather mwenye miaka 37 ameendelea kuonesha jeuri yake ya fedha baada ya kuposti picha katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram akiwa amelala kitandanni, akisikiliza muziki, huku akiwa ameweka mamilioni ya dola.
0 comments:
Post a Comment