Friday, September 12, 2014

ARSENAL
ARSENE Wenger kesho anawakabili mabingwa watetezi wa ligi kuu soka nchini England, Manchester City katika mchezo wa ligi kuu uwanja wa Emirates.
Baada ya kumsajili Danny Welbeck, je, kikosi kitakakuwa kama inavyoonekana pichani juu?
Kuna majeruhi wachache waliojitokeza kwenye mechi za kimataifa ambao ni Aaron Ramsey, Mikel Arteta na Mesut Ozil.
Lakini inaonekana Wenger ana chaguo kubwa la wachezaji na wataweza kumsaidia katika mechi ya kesho.
Centre of attention: Danny Welbeck in training with the Arsenal squad at London Colney on Friday
Mkali mpya: Danny Welbeck akiwa katiika mazoezi ya Arsenal  uwanja wa London Colney leo
Arsene Wenger has plenty of options at his disposal for the visit of Manchester City on Saturday
Arsene Wenger ana wachezaji wengi wanaoweza kumsaidia kwenye mechi dhidi ya  Manchester City kesho jumamosi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video