Sunday, July 20, 2014

Imechapishwa Julai 20, 2014, saa 8:18 mchana

ARSENE Wenger wiki hii atakaa chini na Jack Wilshere kuzungumzia tabia aliyoionesha wakati wa likizo yake baada ya kombe la dunia.
Wilshere amemchukiza Wenger baada ya wiki iliyopita kupigwa picha akivuta sigara na kunywa pombe kwenye bwawa la kuogelea.
Wenger aliwahi kumkalipia Wilshere kwa tabia yake hiyo mwezi novemba mwaka jana wakati nyota huyo mwenye miaka 22 alipopigwa picha akivuta sigara wakati wa mtoko wa usiku na alimuonya kuwa tabia hiyo itamharibia heshima yake.
Controversy: The England midfielder was seen smoking a cigar and cigarettes given to him by his brother
Utata: Kiungo huyo wa England alionekana akivuta sigara aliyopewa na kaka yake.
Stroller: Arsene Wenger ahead of Saturday's pre-season game between Arsenal and Boreham Wood
Mzee kwa kazi: Arsene Wenger kuelekea katika mechi ya jumamosi ya maandalizi ya kabla ya msimu baina ya  Arsenal na Boreham Wood.
     
    Sasa kocha wa Asernal atakaa na kiungo huyo akiwa kambini Amerika-lakini amesisitiza kuwa matendo hayo hayamhusu sana.
    "Sijazungumza naye, kwahiyo inakuwa ngumu kwangu kusema lolote. Najua mnachoweza kufanya katika picha".
    "Nataka kuzungumza naye kabla ya kuzungumza hadharani. Tutazungumza  wiki hii. Sihusiki sana na hilo, lakini nahitaji kujua nini kilitokea".
    Mentor: Wilshere has been playing at Arsenal under Wenger for many years
     Wilshere ameichezea Asernal chini ya  Wenger kwa miaka mingi. 
    Back in action: Wilshere returned to pre-season training early with team-mate Theo Walcott
    Amerudi kazini: Wilshere alirudi na kujiunga na maandalizi ya kabla ya msimu na hapa yupo na mchezaji mwenzake  Theo Walcott.

    Wenger alikiri kuwa msimu ujao unaweza kuwa mzuri au mbaya kwa Wilishere.
    Alisema: "Yupo katika umri ambao unahitaji kumuona anasonga mbele. Ni mchezaji muhimu. Namuamini, kitu cha msingi ni maandalizi mazuri na kuwa na malengo ya kuwa fiti".
    "Jack ni mchezaji mkubwa, ana akili ya mpira na malengo. Nina uhakika kama hatakuwa na majeruhi atakuwa na msimu mzuri".

    0 comments:

     
    voyeur porn porn movies sex videos hd porno video