Monday, July 14, 2014


Winners: Mario Gotze (left) and Thomas Muller celebrate the substitute's crucial goal
Mabingwa: Mario Gotze (kushoto) na Thomas Muller wakishangilia bao la ushindi.

UJERUMANI ndio mabingwa wa dunia baada ya kufanikiwa kuifunga Argentina bao 1-0 katika mchezo wa fainali ulipoigwa usiku huu katika dimba la Maracana, Mjini Rio de Janeiro, nchini Brazill.
Shukurani kubwa kwa mfungaji wa bao hilo pekee la ushindi, Mario Gotze aliyeuzamisha mpira nyavuni kwa ufundi mkubwa katika dakika ya 113.
Bao hilo ni matunda ya kazi nzuri iliyofanywa na Andre Schurrle ambaye alipiga krosi kutoka wingi ya kushoto na kumkuta Gotze akiwa eneo zuri ambapo aliweka gozi gambani na kuachia shuti kali lililozama nyavuni.
Mechi hiyo iliyotawaliwa kwa kiasi kikubwa na Wajerumani ilikwenda dakika 120 baada ya timu hizo kutoka suluhu ndani ya muda wa kawaida.
Lionel Messi ambaye kwa muda mrefu amekuwa akifafanishwa na gwiji wa Argentina, Diego Armando Maradona ameshindwa kuonesha maajabu na kumuacha gwiji huyu kubaki Maradona na yeye kubaki Messi.
Argentina ilimtegemea zaidi Messi, lakini Ujerumani wao ni timu. kwahiyo, mchezaji nyota alikuwa anacheza dhidi ya timu.
Mob rule: Gotze (No 19) is surrounding by his ecstatic team-mates after scoring
Gotze (No 19) akizungukwa na wenzake kwa furaha baada ya kufunga bao lililowapa Ujerumani ubingwa wa dunia. 
Joy and despair: The Germany players go wild after the goal but the Argentines are out on their feet
Wachezaji wa Ujerumani walikuwa na furaha kubwa wakati wa Argentina walihuzunika zaidi baada ya kufungwa bao hilo.

MATCH FACTS

Kikosi cha Germany: Neuer 7; Lahm 7, Boateng 8, Hummels 6, Howedes 6; Kramer 5 (Schurrle 32, 7), Schweinsteiger 7.5, Muller 8, Kroos 7, Ozil 6.5 (Mertesacker 119), Klose 7 (Gotze 88, 8). 
Subs: Zieler, Grosskreutz, Ginter, Schurrle, Podolski, Draxler, Durm, Khedira, Weidenfeller.
Booked: Schweinsteiger, Howedes.
Goal: Gotze 113.

Kikosi cha Argentina: Romero 7; Zabaleta 7.5, Demichelis 6.5, Garay 6.5, Rojo 7; Biglia 6, Mascherano 6, Perez 6 (Gago 86, 6), Higuain 5.5 (Palacio 78, 5.5), Messi 7.5, Lavezzi 7 (Aguero 46, 6). 
Subs: Orion, Campagnaro, Di Maria, Rodriguez, Augusto Fernandez, Federico Fernandez, Alvarez, Basanta, Andujar.
Booked: Mascherano, Aguero.
Man of the match: Jerome Boateng.
Referee: Nicola Rizzoli (Italy) 
Attendance: 74,738 
Ratings by MARTIN KEOWN
Timu bora imeshinda. Kombe la kwanza kuchukuliwa katika ardhi ya Amerika kusini. Historia inaonesha kuwa haijawahi kutokea kombe kufanyika barani Amerika kusini halafu nchi kutoka nje ya bara hilo ikatwaa kombe.
Ujerumani limekuwa taifa la kwanza kutoka Ulaya kuvunja rekodi hiyo.

Superb stretch: Gotze volleys in with his left foot after taking a cross on his chest
 Gotze akifunga bao la ushindi

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video