Kiungo huyo amebakiza
mwaka mmoja katika mkataba wake na vyombo vya habari nchini Hispania
vinaripoti kuwa kuwa mchezaji huyo anaweza kujiunga na Bayern Majira haya ya
kiangazi.
Nafasi yake imekuwa
ndogo Real Madrid baada kusajiliwa kwa Toni Kroos kutoka Bayern, lakini
Mkurugnezi wa Bayern Karl-Heinz
Rummenigge, amekataa kuvutiwa na mchezaji huyo.
0 comments:
Post a Comment