Wednesday, July 16, 2014


Captain of this ship: Steven Gerrard relaxes in Ibiza with his family on holiday
Nahodha akiwa katika safari yake: Steven Gerrard akiwa na familia yake Ibiza kwa ajili ya mapumziko.

Imechapishwa Julai 16, 2014, saa 12:51 asubuhi

UNAJUA majira haya ya kiangazi yalivyo?. Wakati nahodha wa Ujerumani , Phiipp Lahm na wachezaji wenzake wa timu ya taifa wakirudi nyumbani mashujaa baada ya kufanikiwa kutwaa kombe la dunia, nahodha wa England  Steven Gerrard amejikuta katika mazingira tofauti.
Kiungo huyo wa Liverpool anafurahia mapumziko ya kiangazi akiwa na familia yake mjini Ibiza, na alionekana  amejituliza juu ya pedalo.
Wachezaji wenzake wa Liverpool wamerudi mazoezini siku nyingi, akiwemo  Rickie Lambert mwenye uchu wa kufanya makubwa Anfield.
Having a nice time, Steve? England football captain Steven Gerrard enjoys a jaunt on a pedalo in Ibiza
Akila bata? Nahodha wa timu ya taifa ya England Steven Gerrard akifurahia maisha kwenye `pedalo` huko Ibiza.
Meanwhile, in Berlin: Philipp Lahm holds up the World Cup as the German national team return
Wakati huo huo, mjini Berlin: Philipp Lahm ameshika kombe la dunia baada ya timu yake kurudi nyumbani mabingwa.
Scenes: Members of the German football squad wave to fans. An estimated 400,000 greeted the team
Wachezaji wa Ujerumani wakiwapungia mikono mashabiki wanaokadiriwa kuwa laki nne 400,000 ambao walijitokeza kuipokea timu yao baada ya kutwaa ubingwa wa dunia. 
Open-topped, but not a bus: Gerrard was at the beach with his wife Alex and their three daughters
 Gerrard akiwa ufukweni na mke wake Alex pamoja na watoto wao watatu.
When England landed in the UK, there were no fans to greet them
Wakati timu ya England ilipowasili UK mashabiki hawakujitokeza kuwapokea.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video