MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Lucas Piazon amejiunga na Eintracht Frankfurt kwa mkopo wa muda mrefu.
Mbrazil huyo alijiunga Stamford Bridge kutokea Sao Paulo mwaka 2008 , lakini ameshindwa kung`ara na alicheza mechi tatu tu katika msimu wake wa kwanza.
0 comments:
Post a Comment