Bondia
Sadick Nuru kushoto akioneshana umwamba na Baraka Mchonge wakati wa
mpambano wao ulifanyika Manzese Dar es salaam wakati wa sikukuu ya iddi
pili. Nuru alishinda kwa pointi mpambano huo Picha na www.superdboxingcoach. |
Bondia Stevin
Kobelo kushoto akirusha ngumi kumpiga Karim Ramadhani wakati wa
mpambano wao uliofanyika siku ya iddi pili katika ukumbi wa Manyara park
manzese Dar es salaam, mpambano huo walitoka droo ya kufungana point
picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Mabondia Joseph Gili kushoto
akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Tamba wakati wa
mpambano wao uliofanyika siku ya Iddi pili katika ukumbi wa manyara park
manzese Dar es salaam, Tamba alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nne
Picha na www.superdboxingcoach .blogspot.com
Bondia Julius Kisalawe kushoto
akipambana na Ramadhani Kumbele wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa
TPBC uliofanyika siku ya Iddi pili katika ukumbi wa Manyara Park Manzese
Dar es salaam, Kumbele alishinda kwa pointi na kufanikiwa kuchukua
ubingwa picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Kocha mkongwe wa mchezo wa masumbwi
nchini Habibu Kinyogoli 'Masta' kulia akimvisha mkanda wa ubingwa bondia
ramadhani Kumbele baada ya kumdunda Julius Kisalawe kwa point kushoto
ni Refarii Ally Bakari picha na www.superdboxingcoach.blogspot .com
0 comments:
Post a Comment