Mpya: Viongozi wa ligi kuu nchini England wamethibitisha kutumia dawa ya kutoweka iliyotumika katika fainali za kombe la dunia nchini Brazil.
Imechapishwa Julai 31, 2014, saa 4:49 asubuhi
DAWA ya kutoweka iliyotumika kuweka alama ya kuta za ulinzi kwenye michuano ya kombe la dunia itatumika katika michuano ya ligi kuu soka nchini England msimu ujao.
Dawa hiyo ya kupulizia inayotoweka haraka itatumiwa na waamuzi ili kuwaweka wachezaji umbali wa mita 10 kutoka kwenye mpira wakati wa upigaji wa mipira iliyokufa.
Hapa mchezaji hana ujanja wa kudanganya
Dawa hii itatumika kwenye mechi ya kufungua msimu wa ligi kuu baina ya Manchester United na Swansea, agosti 16 mwaka huu.
Mwisho hapa, sawa?
0 comments:
Post a Comment