Sunday, July 20, 2014


Winning team: Louis van Gaal and his wife Truus have moved to Manchester for their new footballing chapter
Timu ya ushindi: Louis van Gaal na Truus wamejiunga na Manchester United kuanza ukurasa mpya wa maisha ya mpira. 

Imechapishwa Julai 20, 2014, saa 9:20 alasiri

LOUIS van Gaal haogopi kukosolewa na mashabiki pamoja na vyombo vya habari, anasema mtu anayemfahamu vizuri mno kocha huyo mpya wa Manchester United.
Mke wake Van Gaal, Truus van Gaal, ameweka wazi kuwa kocha huyo wa zamani wa Ajax, Barcelona na Bayern Munich, hawezi, hajawahi kukata tamaa pale anapokosolewa isipokuwa anaumia sana anaposhindwa kufanya kazi yake vizuri au anapomuumiza yeye.
Watu wote wa Old Trafford watakuwa na furaha kusikia kuwa inachukua muda mrefu kumuudhi kocha huyo mwenye miaka 62-isipokuwa mke wake anayechukizwa na watu wanamuudhi mume wake.
Good luck kiss: Louis greets his wife during the fourth day of training with Holland before the World Cup
Busu la kheri: Louis akimsalimia mke wake kwa kumpiga busu mke wake katika siku ya nne ya mazoezi ya kabla ya kombe la dunia.

    Truus alisema: 'Louis haogopi kukosolewa"
    "Hata kama timu yake imecheza vizuri au vibaya, hata kama watu au vyombo vya habari vitamponda au hapana, haathiriwi na kitu chochote.
    "Mara zote ananiambia: "Unaogopa nini? waache wafurahie haki yao. Wewe tu ndio nakuogopa na najua mambo yalivyo kiuhalisia".
    "Kitu pekee kinachomuudhi ni kuona mimi naumia au nakata tamaa".
    Truus alikiri kuwa hafanani na mume wake kwasababu yeye anaguswa sana na matusi.
    "Siku za nyuma, nilienda kwenye mechi ya mpira wa miguu na kulikuwa na mtu mbele yangu akamtukana Van Gaal".
    "Nilimshika mabegani na kumkalipia: "Amekufanyia nini" unamjua?" mtu huyo aliogopa sana.
    One vision: New Manchester United boss Van Gaal's philosophy is to play attacking football
    Kocha mpya wa Manchester United, Van Gaal, falsafa yake ni kucheza mpira wa kushambulia.

    0 comments:

     
    voyeur porn porn movies sex videos hd porno video