Bondia Japhert Kaseba kushoto akizungumza katika mkutano wa kwanza wa umoja wa kusaidiana katika mambo mbalimbali kwa mabondia wengine ni Habibu Kinyogoli ‘masta’ Fransic Miyeyusho na Thomas Mashali picha na www.superdboxing coach.blogspot.com
Bondia Said Chiddy kushoto akizungumza wakati wa mkutano wa umoja wa mabondia kwa ajili ya kusaidiana katika mambo mbalimbali uliofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jana picha nawww.superdboxing coach.blogspot.com
Mmoja wa wadau wa mchezo wa masumbwi nchiniKhalifa Kiumbe Moto kushoto akichangia mada wakati wa mkutano wa kuunda umoja wa mabondia uliofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam picha na
www.superdboxing coach.blogspot.com
Bondia Japhert Kaseba akizungumza kabla ya kufunga mkutano huo aliouitisha kwa ajili ya kuunda umoja wa mabondia kusaidiana kwa mambo mbalimbali picha na
0 comments:
Post a Comment