Imechapishwa Julai 30, 2014, saa 5:15 asubuhi
Cristiano Ronaldo ambaye anawaona watu wanavalia jezi za Real Madrid na Ureno zenye jina lake, sasa nyota huyo mwenye miaka 29 ameingia kwenye biashara mpya ambapo ataiona nembo yake ya CR7 kwenye miguu ya watu.

Mshambuliaji huyo wa Madrid alianika biashara yake ya viatu kupitia ukurasa wake wa facebook ambayo ilipendwa na watu zaidi ya milioni 93.
Viatu hivyo vyenye nembo yake ni vya mtoko wa kawaida na vina nembo ya Ronaldo. Vitaanza kuonekana sokoni mwezi februari mwakani.
Biashara mpya: Viatu vya Cristiano Ronaldo vitapelekwa sokoni mwezi februari mwakani.
Kumbuka jina: The CR7 logo na jina lake vimehusika kwenye utengenezaji wa kiatu hicho.
Laba hii ina nembo ya CR7
0 comments:
Post a Comment