Sunday, June 15, 2014

  • Edinson Cavan aliifungia Uruguay bao la kuongoza kwa njia ya mkwaju wa penati.
  • Joel Campbell, Oscar Duarte na Marcos Urena waliifungia  Costa Rica mabao yaliyowapa ushindi wa 3-1
  • Luis Suarez alikaa benchi, lakini hakutumika katika mchezo wa wa usiku huu.
Spot on: Edinson Cavani opens the scoring for Uruguay from the penalty spot before celebrating (below)
Kitu kambani: Edinson Cavani akiifungia Uruguay bao la kuongoza kwa njia ya penati  na kushangilia kwa nguvu (pichani chini)
Edinson Cavani

Cavani celebrates his penalty
Cavani  akishangilia penati aliyofunga.

Matokeo ya mechi hii ya ufunguzi wa kundi D  yanawapa nguvu England kufuzu katika kundi lao kama watapata matokeo usiku huu dhidi ya Italia.
Cavani aliifungia Uruguay bao la kuongoza kwa njia ya penati ya utata katika dakika ya 21, lakini haikuweza kuwasaidia  kuipuka kipigo. 
Hata hivyo kadi nyekundu ya kwanza katika fainali za kombe la dunia mwaka huu imetokea baada ya beki wa kulia wa Uruguay, Maxi Pereira kumpiga teke Campbell karibu na eneo la kona, hivyo mwamuzi wa mechi kuamua kumtoa nje ya uwanja dakika za lala salama.
Mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez alianzia benchi na kumalizia mechi benchi yaani hakucheza kabisa licha ya kuwepo kwenye orodha ya wachezaji wa akiba, na hii inatokana na kushinda kuimarika ipasavyo kutoka kwenye majeruhi ya goti alilofanyiwa upasuaji.
Head boy: Oscar Duarte (left) scores to make it 2-1 to Costa Rica before celebrating (below, left)
Ndosi kali: Oscar Duarte (kushoto) alifunga bao la pili na kuufanya ubao usomeke 2-1 kwa Costa Rica kabla ya kushangilia (chini, kushoto)
Oscar Duarte
Oscar Duarte
Can't believe it: Luis Suarez (right) was an unused substitute as Uruguay crashed to defeat

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video