Imechapishwa Juni 3, 2014, saa 2:33 asubuhi
HOFU iliyotanda nchini Ufaransa kuwa winga hatari, Frank Ribery hana uhakika wa kucheza fainali za kombe la dunia imekwisha baaada ya nyota huyo kujumuishwa katika kikosi cha mwisho cha wachezaji 23 cha kocha Didiern Deschamps.

Winga huyo wa Bayern Munich alikuwa katika
wasiwasi kutokana na majeruhi ya mgongo yaliyomfanya akae nje kwenye mechi ya
kirafiki dhidi ya Paraguay jumapili (juzi).
Licha ya kutokuwa fiti sana, Deschamps ameamua
kumjumuisha katika kikosi cha mwisho wakati huu Ufaransa akijiandaa kukabiliana
na timu nyingine katika kundi E ambapo watachuana na Switzerland, Ecuador na Honduras.
Kikosi kizima hiki hapa:
Walinda mlango: Mickael Landreau, Hugo Lloris, Stephane Ruffier;
Walinzi: Mathieu Debuchy, Lucas Digne, Patrice Evra, Laurent Koscielny, Eliaquim Mangala, Bacary Sagna, Mamadou Sakho, Raphael Varane;
Viungo: Yohan Cabaye, Clement Grenier, Blaise Matuidi, Rio Antonio Mavuba, Paul Pogba, Moussa Sissoko, Mathieu Valbuena;
Washambuliaji: Karim Benzema, Olivier Giroud, Antoine Griezmann, Loic Remy, Franck Ribery

0 comments:
Post a Comment