Sunday, June 15, 2014

LICHA ya kukosekana kwa mshambuliaji wao nyota Radamel Falcao, Colombia wameanza vizuri kombe la dunia baada ya beki wa kulia wa Napoli,  Pablo Armero kuwafungia bao la kuongoza katika dakika ya 5 dhidi ya Ugiriki.
Shuti la Armero halikuwa kali kuliko tuliyoyaona siku tatu za ufunguzi, lakini staili yake ya kucheza akishangilia bao lake mbele ya benchi la Colombia ilikuwa nzuri na bora mpaka sasa, labda ndio inaweza kuwa kali zaidi katika mashindano ya mwaka huu.
Push: Armero points his team-mates towards the touchline to start the dance celebration
Sukuma: Armero akiwaonesha wachezaji wenzake sehemu ya kwenda kabla ya kuanza kucheza akishangilia bao lake .
Ready: Colombia prepare to start their pre-organised dance celebration
Twende kazi: Wachezaji wa Colombia wakijiandaa kuanza kucheza kwa mpangilio wakishangilia bao.
Together: Colombia celebrate together after Armero put them ahead in the sixth minute
Pamoja: Wachezaji wa Colombia  wakishangilia kwa pamoja baada ya bao la Armero lililowafanya wawe mbele katika dakika ya tano.
Hands in the air: Colombia got their World Cup off to a perfect start by taking the lead against Greece in Group C
Mikono juu: Colombia wameanza vizuri katika kundi lao la C baada ya kuifunga Ugiriki
Repeat: The celebration had been done by Armero before for Adidas

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video