Si wengine bali ni bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma
Africa band aka FFU ukipenda waite viumbe wa ajabu “Anunnaki alien” au
watoto wa mbwa, walifanikiwa kutingisha jukwaa tena siku ya jumamosi 7
Juni 2014 mjini Dortmund,Ujerumani.katika onyesho la Challenge Festival
liloandaliwa na umoja wa wakameruni nchini Ujerumani.
wasikilize ffu at www.ngoma-africa.com
wasikilize ffu at www.ngoma-africa.com
0 comments:
Post a Comment