
Wakitazamana: Neymar na Luka Modric wakijiandaa kuruka juu Sao Paulo.
MWAMUZI Yuichi Nishimura hatausahau
usiku wa leo baada ya kuwasaidia kwa kiasi kikubwa wenyeji Brazil kuvuna
pointi tatu dhidi ya Croatia katika mchezo wao wa kwanza wa kombe la
dunia mwaka 2014.
Mjapani
huyo alimwacha Neymar aendelee kuwepo uwanjani baada ya kumpiga kiwiko
Luka Modric katika kipindi cha kwanza, kabla ya kuwazawadia wenyeji
penati nyepesi.

Mpira wa juu: Neymar (mbele kushoto) na Modric wakigombaniana mpira...lakini Mbrazil aliweza kwa njia isiyosahihi.



Wachezaji wa Croatia wakimzonga Mwamuzi Yuichi Nishimura, huku Neymar akijitetea

0 comments:
Post a Comment