Tuesday, June 10, 2014

 Bondia Ibrahimu Class “King Class Mawe ” kushoto akiwa na promota wa kimataifa Jay Msangi ‘Jiwe Gumu’ baada ya kutua nchini wakitokea Zambia walipo nyakuwa ubingwa wa WPBF Africa kwa kumpiga Mwansa Kabinga  wa Zambia katika Arthur Davis 
 
Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe ‘ akiwasili nchini kutokea Zambia aliponyakua mkanda huo
Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe ‘ akionesha mkanda wake wa ubingwa juu
Mashabiki mbalimbali wakimpongeza bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ baada ya kuwasili nchini alipotokea Zambia ambapo alinyakuwa mkanda wa WPBF kushoto ni Jay Msang ‘jiwe Ngumu’ Mkuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto na wadau mbalimbali wa mchezo wa masumbwi picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe ‘ katikati akiwa na mashabiki waliopanda nae ndege moja na kumpongeza baada ya kuwasili nchini kwa kunyakuwa ubingwa wa WPBF
Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe ‘  akipokelewa kwaniaba ya serekali nakuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere kulia ni Promota wa kimataifa Jay Msangi ‘Jiwe Gumu’ picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe ‘  akipokelewa kwa niaba ya serekali nakuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto  katikati mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere kulia ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video