Mario Balotelli akishangilia bao lake baada ya kuifungia Italia bao la pili katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya England.
Anapaa juu: Balotelli akiruka juu na kumzidi Gary Cahill na kuzamisha mpira nyavuni
Super Mario: Balotelli akipongezwa na wenzake baada ya kufunga.
Tumewafumua 2-1: Mario Balotelli akionesha vidole vyake kwenye kamera wakati akitembea uwanjani baada ya dakika 90 akimaanisha wamewafunga England mabao 2-1.
Nambo moja, kaeni kimya: Balotelli akitoa ishara ya kuwanyamazisha watazamaji wa TV majumbani, hahahahah!
0 comments:
Post a Comment