Saturday, June 14, 2014



 
 Mwanzo mzuri: Teofilo Gutierrez akishangilia bao la pili la Colombia

TIMU ya Taifa ya Colombia imeanza vizuri michuano ya kombe la dunia baada ya kuifunga Ugiri mabao 3-0 usiku huu.
Mabao Pablo Armero, Teofilo Gutierrez na James Rodriguez yametosha kuwapa pointi tatu muhimu katika kundi lao la tatu.
Michuano ya mwaka huu, timu za Marekani kusini zimeanza vizuri. Brazil walishinda, Chile walishinda, na sasa Uruguay wanasubiriwa.
Mechi nyingine ya kundi hilo inayokuja baadaye ni baina ya Ivory Coast na Japan.
Pia usiku wa manane England `Simba watatu` watachuana na Italia.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video