Mwenyekiti wa Coastal Union,Hemed Aurora akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Tawi la Coastal Union kata ya Makorora jijini Tanga mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mwenyekiti
wa Coastal Union,Hemed Aurora akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Tawi
la Coastal Union kata ya Makorora jijini Tanga mwishoni mwa wiki - See
more at: http://shaffihdauda.com/?p=1900#sthash.3ecwoq9i.dpuf

Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union,Hemed Aurora akipandisha bendera ya tawi hilo la Makorora mara baada ya kulifungua jana,Picha na Mwandishi wetu,Tanga.
Mwenyekiti wa tawi la Coastal Union Makorora,Nassoro Athumani kushoto akikabidhiwa hati ya usajili wa tawi hilo na Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union,Hemed Aurora mara baada ya kulifungua jana,Picha na Mwandishi Wetu,Tanga.
0 comments:
Post a Comment